mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
HahahahahaKupiga push ups[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Yani acha kabisa ndio mana hatuishi kuunwa magonjwa ya ajabu ajabu[emoji22][emoji22][emoji22]Mungu atuhurumie kwakwelKuna sehemu inaitwa Ihumwa hapa Dodoma aisee wanalima mboga hatari na wanasafirisha kuja dar kila Siku lakini mahitaji ya mboga mboga za majani dar ni makubwa sana lazima zile za sumu na nyuma ya choo ziwepo sokoni
Baadhi yetu tunalazimika kula si kwamba tunapenda, majukumu yanatulazimisha.Yaani ndio mana sipendi kula vyakula vya migahawani,mana mazingira ya kuandaliwa huyajui kwakweli unakula tu
Wa Masaki sijui kama watakuelewa bro!Mbagala iko powa sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapa salama ndugu yetu, tatizo tulilonalo mpaka sasa ni kupotelewa na ndugu zetu wawili wapenzi , bw ho chi minh, mkaazi wa ikwiriri na Kichwa Kichafu aka KK, mkaazi wa Kibiti. vinginevyo tuliobaki tuko poa ingawa tuna huzuni. KARIBU sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Na yule mfalme mwenye hekima pia haonekaniNaona naye leo majukumu yamemkaba sana!