Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

At least sisi tulioko mikoani tuna pata fresh kutoka shambani kwa wakulima
Wakulima wa nyanya mkoani Iringa wanatumia kemikali kupita kiasi, kuanzia kupanda, kukuza, kuhifadhi na wanapotaka kusafirisha huzisafisha kwa madawa ili zing'ae kabla hazijamfikia mlaji. Usalama uko wapi ndugu zangu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha shimba wewe ni shida mkuu
Mimi nipo hapa kila Siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…