Ni kweli mkuu. Usije hata siku moja ukafikiria kupumzika katika uzi huu. Mi nasemaga tu ukweli kama ninavyouona. Tumekuwa familia sasa. Ndiyo maana KK na Mchina bado wanaliliwa warudi.Hahahahaha shimba wewe ni shida mkuu
Mimi nipo hapa kila Siku
Goodnight Carba!Tuonane tena kesho panapo majaaliwa
Model from kibiti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23]
AMUN RAMungu awabariki wanauzi wote
Sema Bill Cosby. Hongera kwa kushinda kesi zako za ubakaji!NAOMBA MSI LIKE KABISA
AMUN RAMungu awabariki kwakweli