ProfessorHa ha haaaaaaaa!
Haya mambo ni magumu ndiyo maana kwa sasa mimi hayanipotezei muda sana. Mwanasiasa unajitolea unampigania weeee halafu kesho bila aibu anakubadilishia gia angani utafikiri siyo yeye....
YupThat my Queen
KabisaLikes ziendelee...
Hapana likes zipo tu mkuuMalengo ya huu uzi yamevurugika
Hahaha
Abeee[emoji23][emoji23][emoji23]
Majukumu yanaenda mzee NaniKwema mkuu,habari ya majukumu mdogo wangu?
[emoji23][emoji23][emoji23]yule mwanamke akija hapa ananichafua sana et natetemesha ndoa yake sasa leo namtaka aje hapa[emoji23][emoji23][emoji23]