Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ngozi yako ndio muonekano wako , maana ngozi nzuri huleta muonekano mzuri. Hivyo basi tunza ngozi yako ili uwe maridadi na wa kuvutia. Tumia vipodozi vya asili kwa ajili ya ngozi yako ili kuipa ubora zaidi kuliko matumizi ya vipodozi vyenye kemikali.
 
Hata uwepo kwa wife,lakini akipita mwingine na mzigo lazima uutengenezee mazingira japo kwa kufikiria tu[emoji23] [emoji23] [emoji23].Eee Mungu nipe miaka mingi ya kuishi niweze kushuhudia uumbaji wako huu[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Hapo vipi mzee wa Tukuyu? Hata kama uko na waifu anakuangalia itabidi udondoshe hata kalamu makusudi ili upate upenyo wa kulipa jicho haki yake. Kazi kweli kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…