Ni rahisi kuzishinda dhambi zooote isipokuwa hii ya matamanio[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hawa viumbe Mungu ametumia muda mwingi sana kuwaremba.Lazima wapendwe kwa nguvu ya akili na kuwafanyia yote yawapendezayo(japo ni chukizo mbele za Baba yetu wa Mbinguni)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapo vipi mzee wa Tukuyu? Hata kama uko na waifu anakuangalia itabidi udondoshe hata kalamu makusudi ili upate upenyo wa kulipa jicho haki yake. Kazi kweli kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Naangalia mchezo unavyoendelea mpaka naingiwa na wasiwasi na kumwonea huruma bwana mdogo Cole. Ajabu naye haonekani hapa. Mzee wa Tukuyu si ajabu kauza mazao yake huko ukijumlisha na hela za uhasibu wa wizara aisee Dar nzima inatikisika. Tena anajigamba eti ana nguvu sana kwa sababu ya vyakula anavyokula [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Carb wa Cole wiliam wewe umedhihirisha utoto wa mjini wako hasa unavyompagawisha mzee wa Rungwe, amediriki mpaka kuvunja ndoa yake kwa mashairi yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maandiko huwa yananiacha hoi eti hata ukimwangalia mwanamke kwa jicho la kumtamani tayari umeshazini. Kama uko rijali kabisa na mitestosterone kibao unawezaje kupambana na hali hii? Utawezaje kuona msambwanda wa ukweli ukibiringishwa kwenye kigauni halafu wazo lisikujie? Nilishawahi kuuliza sana swali hili kwenye vipindi vya vijana makanisani na jibu nililoambiwa halikuniridhisha sana japo linaleta ahueni kiroho. Huruma na neema ya Mungu inahitajika kwa kweli vinginevyo...Ni rahisi kuzishinda dhambi zooote isipokuwa hii ya matamanio[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hawa viumbe Mungu ametumia muda mwingi sana kuwaremba.Lazima wapendwe kwa nguvu ya akili na kuwafanyia yote yawapendezayo(japo ni chukizo mbele za Baba yetu wa Mbinguni)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sipiti hata iweje !!!
Hata kama kuna hela unatakiwa kuzifuata huko?Sipiti hata iweje !!!
Mkuu,hiyo amri ni ngumu na haitekelezeki kabisa.Nisitamani? amepita mbele yangu,kitu inatetemeka kwa nyuma.Maandiko huwa yananiacha hoi eti hata ukimwangalia mwanamke kwa jicho la kumtamani tayari umeshazini. Kama uko rijali kabisa na mitestosterone kibao unawezaje kupambana na hali hii? Utawezaje kuona msambwanda wa ukweli ukibiringishwa kwenye kigauni halafu wazo lisikujie? Nilishawahi kuuliza sana swali hili kwenye vipindi vya vijana makanisani na jibu nililoambiwa halikuniridhisha sana japo linaleta ahueni kiroho. Huruma na neema ya Mungu inahitajika kwa kweli vinginevyo...
I miss you every minutes every secondI miss you
Kwa nini asizitume kwa njia nyingine? Nilisafiri kwenda Mbulu mvua zimenyesha kutoka pale Mto wa Mbu kupanda milima ile tope gari linacheza nikasema aisee sirudii tena huu mchezo. Sijui kama walishaweka lami pale...Hata kama kuna hela unatakiwa kuzifuata huko?
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
OyoooooooooMkuu liver ni jina kubwa sana
Kuwa mnyonge hilo haliwezekani life style ya masaki the same with upanga my childhood area
Labda unataka kudig out something
Grew up upanga Maweni st
The same flat with HBC crew
Hard blasters Crew
Professor Jay(Joseph Hauled)
Fanani. (Terry Msiagi)
Big willy. (William)
Na aliyefanya nipende Liverpool
Abass Tarimba
Mnyonge huo msamiati haupo kwenye ubongo Wangu
Hahahahaha