Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukifurahi me moyo huku burdaaani kabisa
 
Cole William wewe jina lako libalikiwe, ingawa yule furani toka nyanda za juu kusini anafanya michezo isiyifaa kwa shemeji yetu lakini umepoa tu. Una roho ya kiutu kwakweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Huku kupoa kwangu ni tabia za ndani yangu lakini chachu kubwa inaletwa na carbamazepine love yake kwangu inanifanya niwe Bora akiniacha naweza changanyikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…