Akuvalishe pete ya kisoda tenaAchana nae, ht mm nipo ntakupa kampani. Siku andjul akienda kwa Carba na mm nakuja kwako
Nimewaona hao wawili wanavyo angaliana tu machoni nikahisi kuna kitu.Achana nae, ht mm nipo ntakupa kampani. Siku andjul akienda kwa Carba na mm nakuja kwako
[emoji23][emoji23][emoji23]watu washakumbatiana huko na yale mayai doooh!Uchonganishi huo
Akupe wewe tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yachukue mamaTena usimpe kbs hiyo zawadi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] cocochanel njoo mzee mwenzangu
Yani kwa upande wangu msichana haipendezi kuwa na kucha ndefu kwakweliKucha za msichana zinatakiwa zisiwe ndefu ili kuepuka utunzaji wa vimelea vinavyosababisha magonjwa na kurahisisha utunzaji na usafi wa kucha. Kucha ndefu zinaweza kuwa chanzo cha hatari kwa afya ya msichana na familia yake hasa pale msichana anapohusika na uandaaji wa chakula cha familia.
Kibiti huku ni shwari kabisaKibiti niaje
Karibu kipenzi changu[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8]Wazima humu ndani?
They are doing fine.Mungu ni mkubwa kwa kweliR.I.P little Angeles
Hivi wale walipelekwa USA kwa matibabu zaidi vipi hali zao
Weweeeee,unakujua polisi??akupitie wapi?muende wapi?kufanya nini??mama angalia nisije kukutengua kiuno ohooo[emoji23][emoji23][emoji23]Utanipitia shemeji twende wote
Ushaibiwa[emoji23][emoji23][emoji23]Nilikuwa sipo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ile zawadi nilikiletea wewe tuNa yale mayai yapasuke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]andjul kuja huku
Hahahahaha
Heeeee mama unamume ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwakweli nilikumithimo chaaa
[emoji23][emoji23][emoji23]ingekuwa Cole hata usingesogea ila KK nenda tuAcha wivu mama, tulia
Pole eeh[emoji23][emoji23][emoji23]Andunje?????? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimeburst kicheko hicho nimeonekana kichaa kabisa huku
Huyo ana masters za wivu sijajua alipatia vyuo gani.We nae mmmmh
[emoji23][emoji23][emoji23]sasa mbona ushawaambia watuWe mbona umenipa hug kisiri siri ukasema nisimwambie mtu ila sijamwambia mtu. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]nikwambie kaolewa na nani??