Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji1][emoji1][emoji1] aisee! hii ngozi kiboko eti?
Ni ngozi ya laana. Popote utakapotuweka matatizo ni yale yale - umasikini, uvivu, maneno mengi, ufisadi wa kutisha, kupenda mteremko...Wale jamaa wa Papua New Guinea niliona kwenye National Geographic wamemuua kiongozi wao wa kijiji kisa kawapunja nyama ya nguruwe mwitu ambaye wote walishiriki katika kumuua. Nikaishia tu kutikisa kichwa. Pengine nasi huku tuanze kuyaua haya mafisadi yanayotuibia nguruwe pori wetu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…