Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*Njia 5 za kuishi kwa furaha na wanawake.*

*1. Uwe na mwanamke anayekufanya ucheke*
*2. Uwe na mwanamke anayekupa muda wake*
*3. Uwe na mwanamke anayekujali*
*4. Uwe na mwanamke anayekupenda kwa dhati*
*5. Mwisho, hakikisha hawa wanawake wanne hawajuani.*
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Numbisa wewee
 
Waingereza walipigana miaka kumi hapa lakini wakafeli wakaondoka
Warusi nao vilevile miaka kumi wakafeli
Wacha tuangalie USA and NATO watafanya nini nafikiri technology iliwasaidia hile combat war iliwachukua 90 days kuimaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…