Lakini jambo baya zaidi kwenu hampendaniNi kweli hatupendi kushaurika ila hii inatokana na kutokujiamini,kila kitu tunaona tuko sawa,haturekebishwi...sasa ukute yuko kwenye kipindi kile cha hormonal imbalance acha kabisa...utaomba poo[emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahaMuda ukifika nitakujibu kula likes kwanza
Itakuwa ameibiwa kuku wote alivyokuwa anawasafirisha[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mfuga kuku hajaonekana humu
Hata mimi nimeonaWe acha tu ndugu yangu!
Tuangalie tu hivi hivi!
Vitu vingine havielezeki!
Tunajuana wenyewe tu!
OLD SOUL AND SOULMATES!
Asante sanaHata mimi nimeona
Nitakuwa nakuamsha kukafanyeMazoezi ya aina gani?mana mazoezi yako mengi et[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unapishana na gari la hela[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]weee nakuogopa[emoji23][emoji23][emoji23]