myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
22:48
Mchunge tu kwakweli asije rudi mikono mitupu hukoSilali,leo namchunga huyo
Usiyajali sana maana ni sehemu ya utafutajiMahangaiko mengine mnajitakia[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Naona chama chenu kinazidi kuimarika sasa mko wa3,wewe,KK na SYBSYB anapenda walio barikiwa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kula kwa macho tuWe Mzee ww jiangalie ww.
HahahahaNdio umenishitua naangalia
Acha kabisa
Asante kwa kunishitua ubusy mbaya sanaYup
It was splendid walahi!
Weeeeeee[emoji23][emoji23][emoji23]rudi tu kwa mkeo mkaendeleze kilimo haya mengine waachie kina KK[emoji276] [emoji276]
22:5222:33