moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Huwezi jua,nilikula nyani Busia (mpakani mwa Kenya na Uganda)[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usiseme hivyo
Aisee unaendeleajeAhsante, mbn wanipa pole huku ukinizomeya[emoji19]
Nina tiketi haijaandikwa tarehe ya kurudi...[emoji23][emoji23][emoji23]ila hakikisha wabakisha hela ya kurudia tukuyu
DuhHumu ni supermarket kila kitu kipo
Siasa kidogo
Mmu ipo humu
Ubuyu tunapata humu
Afya
Michezo
Habari mchanganyiko
Utani...maisha mazuri kabisa
Naiman hata EPL tutaangalia humu
ColeNa mimi sitoki ng'oo[emoji6][emoji6]
Mateso ya kuangalia hivo vitu ni yakujitakiaWanaume tumeumbwa mateso mateso kuangaika
Naimba kwa sauti
Baba ya muziki
Uwezi kuweka maji na mercury sehemu moja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maji chumvi mazuri eehWeeeeeee
My love for you[emoji9][emoji9][emoji9]
Ulijua ama hukujua??[emoji23][emoji23][emoji23]Huwezi jua,nilikula nyani Busia (mpakani mwa Kenya na Uganda)[emoji23] [emoji23] [emoji23]