mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Walipigana vita Mara tatu tena ya hatari sana mpka walipokuja kukubaliana kuwa nchi mojaHapo awali el classico ni jina lililokua linatumika katika mechi ya Barcelona vs Real Madrid kwenye ligi kuu ya Hispania yani la liga,lakini hivi sasa hata wakikutana kwenye mechi ya kirafiki inaitwa el classico
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona pyeeeeee nyingKwema cole williams
IndeedAmbiele kiviele, bingwa wa kupost na kusepa, hujawahi kumpa member yeyote likes hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] watakuwa wamefunzwa na wahindi wa tz[emoji3] [emoji3] [emoji3]Yaelekea wana khofu na tingatinga akishika nchi imekula kwao
Hahahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] kama huna msambwa kwa andjul itawa imekula kwako[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji3] hahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] Cheka sana[emoji3] [emoji3]Uhusiano wa tingatinga wawili umewastua
Hapo ndipo ninapochukia siasaKuna madai kuwa joka la makengeza limeingilia kati na kwenda kujitwalia muamala mrefu wa makanikia.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ule mchezo wao wa kukimbia uchaguzi mwaka huu kweshney[emoji3] [emoji3] wameona bora wabaki waongeze idadi ya kura[emoji3] [emoji3] tehtehteh. Chezea tingatingaJinsi tingatinga wetu anavyokula sahani moja na wafanyabiashara wa kiasia akina Seth na Manji wamejitokeza kulinda ugali wao
Shida hapa na historia Luis Figo kutoka barca kwenda MadridRonaldo de Lima,Luis figo na Enrique Martinez played for both real madrid and barcelona
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahbila shaka utakuwa unakaa mtaani kwetu, ngoja nimalizie huu ugomvi halafu unambie vizuri unakaa nyumba gani hapa kitaani
Hata ukiuchapa likes zitakufuata ndotoniAmini usiamini ninarudi kitandani kuuchapa
Likes hazitakuacha salamaNinatafuta stamina ya mechi ya saa nne kasorobo usikgg
Ziko nyingi lakini western Siku zote wanavutia kwakoTo be considered doesn't mean it is the most
Mwanzoni ilisemekana ni liver-man u ila imeshapoteza mvuto
Sasa inasemekana ni barca-madrid
That's my nature kuwa mtu wa furahaNaona umefuraaaaahiii Mimi kudaiwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Orodha ya wachezaji bora muda wote haijakosea kumbeMessi ndiye mchezaji aliyefunga magoli mengi zaidi kwenye mechi ya el classico
Magoli 21,vile vile ndiye aliyepiga pasi nyingi za magoli,pasi 13
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kama yeyeKing leo la pulga
Indeed my love