Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

SYB hapo ndipo watu wanapotaka katiba nzuri na wala si mtu" katiba ikiwa nzuri na sheria zikafatwa kiongozi ni kuweka dira tu kuendana na taratibu zilizoko.. akikosea anaanchia ngazi bila hata fimbo!!
 
Hakuna shida mkuu aisee nimepitia sana hayo mambo mtu wangu wa kwanza kufanya naye kampeni bega kwa bega na alishinda ubunge
Ndani ya Chama kwenyewe ilikuwa battle la hatari
Halafu wakishinda hata wakiteuliwa uwaziri jamaa wanasahau na kubadilika mapema sana. Rafiki yangu mmoja ambaye form 6 nilimpigania kweli kumuweka sawa kimasomo kwa sasa naibu waziri niligongana naye kwenye ATM moja juzi juzi hapa akakausha. Nilishangaa sana. Pengine alidhani nitamuomba pesa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…