Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu tupate likes kwanza sipendi vita itokee napenda amani
Lakini Mkuu angalia uhalisia usiangalie maneno bajeti ya US kwenye military mzee nchi 12 za ulaya unaweka UK ,France,Italy,Spain
Hata wao ulaya wanamuoga US sembuse N.K
Sawa wana bajet kubwa na pia ni kweli wanaweza kuifinya N Korea kufumba na kufumbua, lakini kabla hujachagua upande kwa mataifa haya mawili tueleze kosa la N Korea mpaka ifike mahali Dunia iunge mkono mipango kuishambulia haitimaye kulifuta taifa hilo? Suala la uonevu unalishabikia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…