tremendous
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 3,237
- 5,328
Haya kula like.Post popote ulipo kwenye page ukiwa unaendelea kugonga likes
Jana kituve cha LIKE mod walinifichia.Kiongozi ulitafutwa sana jana hapa
"Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu""Mkaidi hafaidi hadi siku ya idi."
Hela ya mshahara na hela ya dili zote thamani ni moja na zinafanya kazi moja tu ya matumizi. Lete like ya bariiidiiiMnashusha thamani ya "like" wajameni
Hana jipyaUnaanzisha uzi kupitia nyuzi zingine.
Kweli unatia mashaka wewe.
Mdogo Mdogo tutafikaKazi kidogo like kidogo
"Pesa ni matokeo""laki si pesa"
Chukua likes"Napendaga ma likes camera action!! Nagawa na ma likes!"
Aaaaa babe S.Kuna watu siwaoni, au ni Mimi ndo....
Pia hakuna mapovu.Humu hamna majungu
Penda sana weweKuna watu siwaoni, au ni Mimi ndo....
Atakufa kwa kijiba cha rohoKuna ngulumbili mmoja alianzisha uzi kuuponda uzi wetu pendwa
Kama kawaida maana kuna watu wanaabudu kitufe cha like.Mzee wa nyundo nzitooo.
Na likeYour like
naomba nikusindikize mm na emmytaDunia inajizungusha kwenye mhimili wake kutoka magharibi kwenda mashariki.
Tukifika Dubai mnishushe nikale bata kwanza