mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mark Msue anaogopa sana nyoka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Watu wanaoogopa majoka wakiona hii picha ni shida...Nyoka gani huyu Bob?
AMUN RAHii aione Malkia ISIS (Mzee wa Masaki samahani sijaomba rukhsa !!!)![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tukienda China kwenye honeymoon, supu yetu kila asubuhi itakuwa ni supu ya nyoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AMUN RANasi tuipende nchi yetu hivyo hivyo jamani ehhh!
Kabisa Tanzania kwanzaView attachment 564255 Hata ikiwaje
Hivi nani huyoSasa hivi kaleta nyuzi 2 mfululizo[emoji23][emoji23][emoji23]hajakoma tu...
Wimbo bora sana[emoji124] [emoji124] [emoji124] usitumie pesa kama fimbo,pale palipo na makubaliano,hapo ndipo pesa ina thamani....[emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji444]
Kabisa my loveMaendeleo yanaanza na sisi wenyewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] me ntakuwa sinywi supu.... babe china tutalishwa hadi mende tutaenda Koromije tuuu
Mkuu naona unapenda sana mambo fulaniKuna muda tips zako zina mlenga mtu tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]