Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mende hapana. Wana sumu wale. Redio moja kule Florida walifanya mashindano ya kula mende wabichi laivu mshindi wa kwanza akafakamia mende kibao lakini hali yake ilibadilika pale pale wakamkimbiza hospitali bahati mbaya akaRIP na zawadi ($850) akaikosa. Tutakula vilivyozoeleka tu kama konokono, panya, nyoka, mbwa, jongoo na makorokocho mengine.
1c58730abdfb74620cf0c341a42c1e83.jpg
Du wazungu hovyo sana
Kipindi kile cha viroba vya konyagi napo kuna jamaa ali RIP kwenye mashindano ya kunywa viroba vya konyagi
 
Cole,ulimuona akiita baby? Mbona carba kamwita kichwa mpenzi haujasema chochote? Ila kichwa anatuchanganya dogo,tukae uchochoro fulani hivi,ale fimbo za mgongo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uliniona namwita mpenzi?me nilisema kipenzi na inaweza kuwa na maana nyingi[emoji23][emoji23][emoji23]
[HASHTAG]#pambanana[/HASHTAG] hubalako#[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukiona una lala kwa wakati ujue eidha umemaliza kulipa mkopo,umelipa ada za watoto,fundi hakudai,hard ware umelipa deni,biashara hazisumbui,boss haja kutishia kukuachisha kazi usipo jirekebisha,wife alikuwa na simu yako na hajakuuliza chochote kuhusu kilichomo au hauna majukumu yoyote[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom