Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu ni kweli kihualisia ni ngumu ndio maana hata Masihi mwenyewe kuna wanafunzi wake walimwambia mwalimu hili linawezeka
Akawambia lisilo wezekana kwa binadamu kwa Mwenye Enzi Mungu linawezekana
Ndiyo maana tukaambiwa kuwa tutaokolewa kwa neema tu na si vinginevyo...[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…