Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahhaa dah nacheka hapa mpka basi
 
Kweli kabisa...kila kitu kiishie ndani ya kuta nne tena milango na madirisha vikiwa vimefungwa...
Mahusiano mengi siku hizi yanavunjika sababu hiyo(hakuna siri)kila kitu tunaongea ongea tu hadi paka wa jirani wanajua...
Heshima
Hakuna kabisa na hizi social media hatari Sana kila kitu kinaanikwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…