Sana mkuu hapa likesSiasa sio muhimu jukwaa hili...kuna jukwaa lake
Wakuu leo na kesho target yangu ni kucheza na page 100 mpaka 150, si kazi ndogo lakini nitajitahidi kuanzia masaa machache yajayo. Kaeni mkao wa kula maana nitamwaka likes za kufa mtu kuanzia page ya mbele kabisa kurudi nyuma page 100 kasha kupiga 50 nyingine kama muda utaruhusu. Weka likes pata likes.
Mmeanza [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kichwa kichafu inasemekana lukaku alikutumia text kwamba atafunga goli
CantstopwontStop