Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanaume tukapime tezi dume sasa. Kuna kipimo mbadala na rahisi. Hakuna haja ya kuogopa tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
*******************************
“Lakini inaweza kuwa wanaume mnaogopa kupima saratani ya tezi dume na mimi nitoe wito kwa wanaume mpime kwa sababu pia sio kile kipimo kinachotembea mitandaoni. Kipo kipimo cha kupima saratani ya Tezi dume ambapo unapima kwa kutoa damu na sio vile mnavyofikiria kile kipimo ambacho watu wanakiogopa hicho sicho rafiki"

Waziri wa Afya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…