Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Inasemekana et uliwekwa mahabusu kwa kosa la kunyemelea ka denti
Madenti walikuwa wawili kwa bahati mwenzangu aliwahi kuwaona askari mapema kaniaga kuwa atarejea muda mfupi,
Kumbe kaniachia matatizo!

Lakini katumia pesa nyingi kunitoa huko.
Na bado anaendelea na mchezo huo pamoja na kuwa na wake watatu.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
mzee wa liver wakudeka ukimuona ISIS
Pamoja na kuwa mgumu hivyo ila ukifika masaki ubabe wote kwisha
Huwezi amini, hadi anaingia Mbezi mwisho ni mgumu kishenzi,kosa ni pale akifika taa za Morocco anabadilika ghafla...anapiga kaptula ya kuteleza,raba mtoni,limtisheti kuuubwa na kofia ya Nike huku mkononi ana dunda dunda mpira wa kikapu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mzee wa iniiiiiiii unaenda wapiiiiii? Kwa ISIS beibi yu noo...kwisha habari yake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwahiyo yule mtema kuni ni polisi au hako ka denti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…