carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
ho chi minh eti ulikuwa wapi?Muulize kosa lake akikujibu nitag
Huyo mzee mwambie akupe majibu vizuriKwahiyo yule mtema kuni ni polisi au hako ka denti?
Gari sijauza ndo nakamirisha kuipiga rangi ya mafuta,Huyu mzee ana hatari sana.Gari yake ni kama aliiuza eti?
Huyu babu huyu
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] basi sawaWe acha tu naona hata vitatengeneza list wakt kila kitu kinafasi kubwa sana
Sana tu[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani wee mtoto unapenda ubuyu...
Amina[emoji120] .Ahsante kwa upendoPoleni Mungu amfanyie wepesi kwakweli[emoji120][emoji120]usichoke kuomba
Umemjibu vyema kabisa,Niache na cole wangu jamani
Tatizo we mzee hutaki kupitwa na muda pamoja na mafanikio yako yote kuanzia ujana.Madenti walikuwa wawili kwa bahati mwenzangu aliwahi kuwaona askari mapema kaniaga kuwa atarejea muda mfupi,
Kumbe kaniachia matatizo!
Lakini katumia pesa nyingi kunitoa huko.
Na bado anaendelea na mchezo huo pamoja na kuwa na wake watatu.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Nzuri mkuu mambo yakoje
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Weee mzee jiangalie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu kwema?
Bado nipo nipo kidogoNilikuwa na hofu nilijua umekimbia kimya kimya
Huyo mzee sio wewe mwenyewe kweli???Kuna jamaa mmoja kasema akirudi mazizi yajiandae kutikisika vya kutosha.
Mzee wa liver
Cole williams
Andjul
Uniq
Shimba ya buyenze nk!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku ni usalama kabisa.ni njema bwosss sijui ww mtu mzima
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] upande wa pili aseno.Nyumba yenu ina mbwembwe nyie....Young Africans[emoji172]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wee mzee wewee[emoji23][emoji23]
My one and only womanSalama kabisa
44