mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwanini usingetumia bebi au hani?? Yaani hayo majina mawili huwa yanasababishaga mtaji wa maparachichi ukate[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ubabe huku mtaani lakini nikifika kwake nakuwa mdogo kama pilitonmzee wa liver wakudeka ukimuona ISIS
Pamoja na kuwa mgumu hivyo ila ukifika masaki ubabe wote kwisha
Kwa mujibu wa kaka yake kichwa kichafu na ndiye aliyemwekea dhamanaInasemekana et uliwekwa mahabusu kwa kosa la kunyemelea ka denti
Very impressiveMzee wa ini[emoji351]
ISIS [emoji351]
SHIMBA YA BUYENZE[emoji351]
Carba...[emoji351]
Cole williams[emoji351]
Bob12[emoji351]
Rutashubanyuma[emoji351]
Numbisa[emoji351]
Andjul shemeji[emoji351]
Modgaulf[emoji351]
Alibakari[emoji351]
kichwa kivhafu[emoji351]
BAK[emoji351]
Na wengine [emoji351][emoji351][emoji351]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe umemaliza kuutathmini ulete mrejesho[emoji23] [emoji23]Wapo kwenye kuutathimini mlonge,Numbisa katuletea matatizo sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
14:5910:00
AMUN RA
Judge number 54
UNIVERSES are on my side forever
Usizungumze kwa sauti kubwa mkuuHahahahaha
Kwa ukawa unasijisevia tu
Za jumatano shemeji?Very impressive
Shemeji langu la ukweli.
CantstopwontStop
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bebi unaionea bure mzee mwenzangu,
Manyoya ya kifuani yashakuwa meupe bado wahitaji kuitwa bebi dah
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Rumande ile acha tu,Hahahahaha
Hahahahaha hatari sanaMadenti walikuwa wawili kwa bahati mwenzangu aliwahi kuwaona askari mapema kaniaga kuwa atarejea muda mfupi,
Kumbe kaniachia matatizo!
Lakini katumia pesa nyingi kunitoa huko.
Na bado anaendelea na mchezo huo pamoja na kuwa na wake watatu.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hatari sana kichwa kichafu,Da itabidi hakushuru sana kumtoa huko alipokuwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huwezi amini, hadi anaingia Mbezi mwisho ni mgumu kishenzi,kosa ni pale akifika taa za Morocco anabadilika ghafla...anapiga kaptula ya kuteleza,raba mtoni,limtisheti kuuubwa na kofia ya Nike huku mkononi ana dunda dunda mpira wa kikapu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mzee wa iniiiiiiii unaenda wapiiiiii? Kwa ISIS beibi yu noo...kwisha habari yake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukimaliza hiyo tathmini ya mlonge leta mrejesho sawa eeehWapo kwenye kuutathimini mlonge,Numbisa katuletea matatizo sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Swali zuri kwa muda mzuriKwahiyo yule mtema kuni ni polisi au hako ka denti?