myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hahahaha
Huyu jamaa yuko wapi jamani?Joseverest
Sent from Kingston Jamaica
AmenMungu atubariki Siku ya leo
Kina nani hao wanao uwawa?
[emoji113] [emoji113] [emoji113]Niko kote lakini sana hapa kuna upendo hapa tena wa hali ya juu sana, ila siasani lazima nizuke hasa wakati huu Watanzania wengi tuna hofu kubwa sana kutokana na kauli na matendo ya bwana yule. Nchi yetu inaharibika machoni mwetu.