ExactlyThat's what I am trying to do Madame. You need to play YOUR PART TOO, IT CAN BE DONE.
Umeona marekani juu ya
Charlottesville?
Gr8 my dear
Na USA ina 400 plus yearsNimeona Madame, sasa fikiria kuwe na Charlottesville katika nusu tu ya States za America! Wanaweza kufa wengi sana, kisa ni huyu mpuuzi aliye WH. Wengine wameshaanza kudai apimwe akili yake before it is too late naona hawa hawajasema apimwe kojo 🙂🙂
View attachment 573618 View attachment 573617
Exactly
Wa kutengeneza maendeleo
Biashara ni nyingi sana
Lakini watu wamekaa vijiweni kulalamika tu
Change your mind change your life!
Siasa zipo na ni nzuri ukiwa na mshiko wako mwenyewe mfukoni
Nimeona Madame, sasa fikiria kuwe na Charlottesville katika nusu tu ya States za America! Wanaweza kufa wengi sana, kisa ni huyu mpuuzi aliye WH. Wengine wameshaanza kudai apimwe akili yake before it is too late naona hawa hawajasema apimwe kojo 🙂🙂
Hizo photo unazo postNimeona Madame, sasa fikiria kuwe na Charlottesville katika nusu tu ya States za America! Wanaweza kufa wengi sana, kisa ni huyu mpuuzi aliye WH. Wengine wameshaanza kudai apimwe akili yake before it is too late naona hawa hawajasema apimwe kojo 🙂🙂
View attachment 573620 View attachment 573619
Na USA ina 400 plus years
Sisi ndiyo kwanza tunaanza
HIZO BIDII ZA SIASA ZINGETUMIKA KWENYE BIASHARA
WALAHI TUNGE SONGA MBELE SANA
WAZUNGU WANAPENDA VURUGU LA DEMOKRASIA
LAZIMA WATANZANIA TUONE THE BIG PICTURE
TUAMKE
TUBADILIKE
View attachment 573623 View attachment 573622
Hizo photo unazo post
Zinatakiwa ziwe ni nyumba zako
Lakini our mind set haiamini
Hao walikuwa hawa fanyi biashara za halaliUsiseme kabisa kuhusu biashara Madame hizo zinakufa vibaya sana. Dakika chache nilikuwa naongea namfanya biashara mmoja mkubwa sana wa jijini. Kabla ya uchumi kuanguka sales zake zilikuwa 300K kwa siku sasa hivi akipata 10K anashukuru Mungu. Kama hakuna pesa hakuna biashara Madame na huu ni mwanzo tu hali itazidi kuwa mbaya sana kama hatua muafaka hazitachukuliwa haraka. Hukusikia mabiashara chungu nzima kufungwa nchini!?
Hujanielewa!Siwezi kuweka nyumba zangu humu! Sijipendi!? Humu kuna watu banaaa usiwadharau kwa kuwaona wako humu lakini wanachakarika vibaya sana ndani na nje ya nchi na wako vizuri sana.