mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mche Mungu sio m'munguIko siku utakufa mche m'mungu
Chemical formulaLikes,toa upate
Ni mambo ya ajabu. Kuna watu wanaoamini kuwa teknolojia hiyo ya zamani imefichwa mahali na au pengine ni teknolojia kutoka malimwengu mengine huko na wenyewe waliamua kuondoka nayo. Katika mapiramidi ya Misri yale kuna mijiwe huko juu kabisa ina uzito wa karibia tani 30+. Hata na macrane makubwa ya leo kuipandisha huko bado ni tatizo; na mpaka leo wanasayansi hawajajua hayo mapiramidi yaliwezekanaje kujengwa.Elimu ya watu wa zamani ni tofauti sana. Hakukuwa na teknilojia ya sasa..lakini waliweza kujenga,kusafiri,na kujitubu kwa hali ya huu. Waliweza kusoma nyora za angani na kupata majibu yao
Kabisa mkuuNjema kabisa Mungu anatusaidia
Nyumbani ni nyumbani tupo Nyumbani
CantstopwontStop
Sambaza upendoNimeagizwa upendo
Elimu haina mwisho endelea kusoma mkuuYeah! Jamaa (Wamisri wa kale na Waroma) wameacha masalio ya miungu yao kila kona. Kuanzia siku za wiki, majina ya miezi, kwenye tiba na karibu kila sehemu. Nilikuwa na moto mwanzoni pale nikaanza kusoma soma mambo ya Goddess ISIS mwe mpaka nikaogopa nikaacha. Mambo haya yamefungamana mno na kile tukidhaniacho kuwa ndicho.
Siku hizi nikisikia AMUN RA, ISRAEL, AMEN, YAHWEH, YAHSHUA...basi nakaa kimya tu...
Goddess ISIS upo?
Buyenze ya Jakitoo [emoji23][emoji23][emoji23]Jakitoo ya buyenze
CantstopwontStop
Kama kawaidamzee wa liver vipi leo liver?
Nipoo shem..... za jumapili?Jakitoo ya buyenze
CantstopwontStop
Npo MwalimuthatonegAl
CantstopwontStop
J pili njema Tu, viph huko ulipo???Nipoo shem..... za jumapili?