Yap,chama la wana
Haswaaa
Yalah
Loh, we nae hii tabia ya uchokozi umeanza lini
Nawe pia yaonyesha ni mwenyeji eneo hili. Cameo imevunjwa, Tajiri aitwaye Baghdad ameweka jengo, Odeon ndipo ilipo DTV/Chanel ten, New chox kuna duka la Mohammed enterprise, Avalon duka la Tunakopesha ltdNakuona pia kijana wa Mchafukoge! Kijana wa mitaa ya Cameo, Odeon, New Chox, hivi kuna vitu gani sehemu hizo siku hizi? Si unajua tena , siku hizi niko bara huku.
Hahahaha dah
Hahahha watu jamani
Wapi wapi, chang'ombe, miembeni bar ilala, kigongo bar buguruni, wami bar mwananyamala, mundo bar temeke, ccm kata 14 temeke, super fanaka buguruni............