Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mbali na lile somo la milonge, hili pengine ndiyo somo la muhimu zaidi. Niliwahi kupoteza simu iliyokuwa na mambo ya muhimu sana na niliweza kui-lock kabisa isifunguliwe na mtu mwingine hata wakifanya hata hard reset. Halafu pale juu ikawa inaflash jina langu na email yangu na ujumbe wa kunirudishia. Naona jamaa alikata tamaa na akaamua kunirudishia tu. Wakati mwingine haya mambo yanasaidia...
 
Waaow hongera sana,maana isingekua password jamaa angeiuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…