Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
andjul njoo ujibu swali huku
 
Aisee. Karibu sana mkuu. Siku ukija nitakuchinjia ndama aliyenona. Na ngozi utabeba kabisa uende nayo Tukuyu!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ahsante mkuu,disemba tutakuwa huko,mke wangu kwa jina la asili Kabula,anahitajika na shangazi zake.Alipo nipo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kabula dah! Jina halisi la Kisukuma. Mmojawapo wa waanzilishi wa koo kuu za Wasukuma. Wengine Minza na Nkwaya....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…