Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna siku nilisikia sikumbuki ni mkoa gani kuna wanafunzi wa form2 hawajui kusoma wala kuandika nikabaki nastaajabu tu
Ilikuwa ni shule moja huko Ukerewe. Mi niliuliza why Ukerewe? Sehemu yenye wasomi maprofesa na PhD holders wengi pengine kuliko sehemu nyingine hapa Tanzania. Mzee wa Liva na Yego nadhani walikausha [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…