[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lazima agome kurudiHahahahaha
hivi tu hajakuona anamekupenda,akikuona anaweza akagoma kurudi home kabisa huyu
mhhhhCha kinyama kivipi? Alikuwa mpiganaji wa mstuni. Ulitegemea afe kwa homa? Guess what? Kwa wapiganaji hawa hiki ndicho kifo cha heshima - kufia katika mapigano, kufa huku ukipigania unachokiamini. Kufa ukiwa umefungwa maventileta na mamirija kibao kitandani hospitalini kwao hawa ni kujidhalilisha. Ndiyo maana alimwambia askari aliyekuwa akitaka kumtandika risasi " Fyatua bastola yako. Utamuua Che lakini fikra zake zitadumu milele". Ndiyo maana wanaitwa wanamapinduzi and I am not sure if they still make them anymore.
mbege[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lazima agome kurudi
Bilionea wako hana mpya, kwanza anamtesa mtoto wa watu, hajui namna ya kumpa mapenzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]subiri bilionea aamke
Salama twamshukuru MunguHabarini za asubuh wapendwa
Naimani mmeamka salama
Tumshukuru Mungu
Kabisa
Mana dogo akianza kuweka element za mbege kwenye damu yake huko mbeleni itakua hatari sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pole sana Houston, pole USAHii Houston naona ndani ya miaka hii miwili wanapigwa na vimbunga hatari sana
Huu mji utachukua muda kukaa sawa
AMUN RAHahahahaha
Cole umenikumbusha kuna sehemu Dodoma inaitwa kigamboni we mvua ikinyesha kubwa pantoni inahusika