Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pole sana bro. Mwenyezi mungu akuponye kwa uwezo wake. hata hivyo ukamuone daktari wa meno ili aangalie uwezekano wa kukuponya na tatizo la kutoboka ili uyaokoe yaliyobaki kuepukana na tatizo kuyang'oa

Sent using Jamii Forums mobile app
Amin..nimepata ushauri na kuziba mengine. Mungu atupe afya kuamkia Eid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…