Nzuri..karibu tenaHabari yenu wakuu
Polee SYB... Mungu akuponyeMwenyewe naumwa jamani. Nilikuwa kwa Dr hapa kufanya follow up na mambo inaonekana siyo mabaya kama nilivyodhani. Sema tu daktari mwenyewe ni binti mbichiii halafu yale mambo ya mwenyekiti wa Tukuyu yale dah! Sijui mzungu dizaini hii wamemwokota wapi. Basi physical exam imeenda safi kabisa [emoji122][emoji122][emoji122]. Hapa naenda kununua dawa famasi yaani full magego [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Jamani jamaniHivi Bob mbona na wewe umekuwa mvunjifu wa mazizi ya watu lakini??waaaaaiiiiiii[emoji22][emoji22][emoji22]
Mzee habari yako mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hawa vijana wana teki advanteji ya uzee wangu.Nataka niwang'oe vichwa vyao...nimechoka kusumbuliwa,litakuwa fundisho na kwa wengine
Hahahahjaha nyie watu jamani dahMwenyewe naumwa jamani. Nilikuwa kwa Dr hapa kufanya follow up na mambo inaonekana siyo mabaya kama nilivyodhani. Sema tu daktari mwenyewe ni binti mbichiii halafu yale mambo ya mwenyekiti wa Tukuyu yale dah! Sijui mzungu dizaini hii wamemwokota wapi. Basi physical exam imeenda safi kabisa [emoji122][emoji122][emoji122]. Hapa naenda kununua dawa famasi yaani full magego [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anza na mzee wa pwani kama vipi wasiliana na mwanafunzi akupe maujanja ya kuteka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hawa vijana wana teki advanteji ya uzee wangu.Nataka niwang'oe vichwa vyao...nimechoka kusumbuliwa,litakuwa fundisho na kwa wengine
KamandaUTU UMESHUKA BEI THAMANI YA PESA IMEPANDA
CantstopwontStop
Eid inakuja vibaya kweli yan[emoji47]Jirani Eid hiyo
Wengine wazuri kiasi ila wewe ndio my Queen, my first last and everything in betweenCole wangu
Yaani hapa nafarijika..MTU una imajin kusingekuwa na hizo simu na mitandao ingekuwaje....Kuna kipind huwa naumwa,nakua vibaya mno ila huu uzi ndo tiba ya kutojisikia vibaya zaidi