Yaani wewe si wakunifanyia matendo yale ya janaDogo siku hizi unanizingua sana unanipanda kichwani tena
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Halafu wewe Na kuweka
Kiporo
Umeanza kujitetea mapema nisipate mualiko na makuli.Eid inakuja vibaya kweli yan[emoji47]
Comment yako ndo ilinifanya nikimbieHahaa... Kulikoni? Mbona unatimua?
Salamu yako siitaki mana si kwa matendo yako ya jana[emoji22][emoji22][emoji22]We mwanamke hujambo?
Asante sana mkuu.Nzuri..karibu tena
Hayo maneno,nililo nalo sidhani hata kama litafika saa sita.Najutaje[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]Njoo nikufariji basi mana nina jibapa hapa la kusogeza usiku[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji817] [emoji817]Wote wa wazima wa afya kabisa