carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
We huwezi nichomesha mahindi mimi tena hata taarifa hutoi nimezurura kukutafuta hadi basiJana si ulijifanya mjanja leo imenibidi nikukomoe kabisa we dogo
Acha tuAmekata umeme
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ikiiva niiteYani wewe[emoji83]
Dawa yako inachemka
Leo nimewahi nimeacha niliyonayo nipe mualiko kwanza ndio tuzungumze.Salamu yako siitaki mana si kwa matendo yako ya jana[emoji22][emoji22][emoji22]
Mana hili goma lake limekua gumzo ujueHahaha hawezi kuniseduce
Tatizo bado niko porini,ningekuwa town ningetoa mualiko kwa wote humuUmeanza kujitetea mapema nisipate mualiko na makuli.
Hahahahahah avatar zinabadilika kila second ngapi? [emoji23] [emoji23]Hee kumbe,saiv huwa nasoma jina maana avatar zinabadilika kila kukicha
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106][emoji817] Hakika baba viv
Naomba uniweke ndani ya chupa kwako nifike kabisa, cole nichizike nife nizikwe na wewe kabisa, binadamu mi nafahamu sijakamilika niponde kama dawa ziwe tamu kila Dakika. [emoji173]