Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naomba uniweke ndani ya chupa kwako nifike kabisa, cole nichizike nife nizikwe na wewe kabisa, binadamu mi nafahamu sijakamilika niponde kama dawa ziwe tamu kila Dakika. [emoji173]

CantstopwontStop
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]nikuweke kwenye kichupa tena??mzee wa tukuyu si atakuja na polisi kwangu nikuachie hapa tu anasema nimekushika akili[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mmoja wao aking'olewa meno kwa nyundo watamchangia fweza akatibiwe sauz kwa madiba kisha watarejea kazini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiishi kusini kwa mwaka mmoja tu,ujue hata Somalia utaishi kwa amani.Niliwahi pindishwa shingo kisa nimembonda paka aliye kuwa akipita dirishani kwangu kwa mzee Said Zaid,nilipona kwa kunywa kombe
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Aisee kumbe yamekukuta mkuu bora hata hiyo kesho naondoka,niliwahi kwenda mtwara huko newala sehemu moja inaitwa mtopwa aisee balaa lake usipime
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…