Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Asante sana jirani, Mnyaazi Mungu akijalia tutakaribia; Insha Allah! Sasa mwenza hata wa kusingiziwa humu sina, nitazuka kigumu bhana. Ila umenikumbusha mbali sana, mitaa yetu hiyo. Ni kona ipi hapo katikati ya jiji tusoijua? Utoto ilikuwa raha sana!
 
[emoji106][emoji106][emoji106]
 
Kichwa kichafu, mzee wa kibiti, ukiwa bega kwa bega na mchumbaako GeJo, mnaalikwa kuhudhuria tafrija ya kishua, hapa ushuani Kijichi. Tafadhali kwa kuwa unaishi jirani na mchina ho chi minh, tunakupa mwaliko wake umfikishie na umpakie kwenye gari yako, uje naye akiwa na mchumba/ mke wake kwenye eneo husika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…