Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Waafrika yaani dah! Teknolojia tunayo. Mpaka tunavunja kanuni za aerodynamics na conservation of energy kwa kuruka na ungo lakini bado tuko nyuma. Tatizo liko wapi?
Hatujiamini. Sisi tunafanya tafiti mbali mbali za technologia hizi, lakini baadhi ya wahusika wamekuwa wasiri kupita kiasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…