No you are not! You will NEVA be free in this world!I am free at last
Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilipanda tax leo.dereva tax akaanza kuongea…
Naipenda sana kazi yangu nimejiajiri hakuna wa kunipangia nn cha kufanya
….nikamwambia_ ..KATA KUSHOTO
Niko poa mtu wangu. yuko wapi jirani yangu mpenzi nsamakaNzuri moud
Uko poa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamaa aliokota wallet, alipofika nyumbani akapiga simu kwenye radio station
"Naitwa John nimepiga simu kutangaza kuwa nimeokota wallet ndani ina laki 7, ATM Card na kikaratasi chenye PIN ya ATM Card na kijimkufu cha dhahabu kinene hivi…"
Mtangazaji akasema:- Akhasante sana John, kwa hiyo ungependa kumrudishia mwenyewe kama ana kusikiliza akutafute kwa No. Gani!?
John: Hapana, mi nilikuwa namshukuru tu maana amenitoa kwenye matatizo na ninapenda kumuombea Dedication wimbo wa Snura "MAJANGA" umfikie popote pale alipo…!!!
Wamarekani wamezembea nini?
Poa mkuu
Habari SHIMBA WA BUYENZEMbagala kwema ndugu yangu. Tukuyu mnasemaje? Baba yetu anaendeleaje?
Kwema Mkuu
Yule nshamvinjia mkataba labda mzee wa liver anajua alipo[emoji41]