Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jinsi ya kupika
- tia sufuria yako kwenye moto, weka mafuta kidogo... kuna watu wanadhani kupika vizuri ni kujaza mafuta
weka kidogo ya kukaangia vitunguu...binafsi sipendi chakula chenye mafuta mengi

- weka vitunguu vyako sasa...geuza geuza usisubiri vikabadilika saana
- weka karoti zako....inapendeza ukikata ndefu ndefu
- geuza geuza hapo kisha tia nyanya kisha hoho
- weka kitunguu swaumu.... tuelewane kwanza kitunguu swaumu mimi huwa natia baada ya kuweka nyanya maana sipendi viungue kwenye mafuta nakosa ile ladha yake na harufu yake tulivu:
 
Hahahahaha
 
Yap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…