Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu pole sana, Mwenyezi Mungu apitishe yake kwa wepesi, aepushe madhara dhidi yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba orodha ya matunda pendekezwa kwa tiba hii..
NDIZI+NANASI+MAZIWA
Nao mchangayiko wa ndizi, nanasi na maziwa una vitamin nyingi na virutubisho vingi na huondoa tatizo la ukosefu wa choo.
PAPAI+NANASI+MAZIWA
Mchanganyiko wa papai, nanasi na maziwa, ambao una kiwango kikubwa cha vitamin C, E na Chuma (Iron), huboresha rangi ya ngozi na kuifanya iwe nyororo na husaidia mmeng’enyo wa chakula tumboni (metabolism).
 
[emoji23][emoji23]jamani jamani
Amesema ameondoka yuko safarini kwenda sehemu nyingine lol!
Ila umejua kunichekesha
Wapi alipo sema ameondoka? Tuchange nauli aende jakitoo akatubembelezee (weupe wake na kamsambwaz ka haja mkoro... atakubali haraka) ili ahame haraka
Kweli shemeji. Kukimbia ndiyo dawa pekee. Tuko na jamaa hapa tutaendesha masaa kama 7 hivi kuhamia sehemu nyingine. Sema tu petroli nayo imeanza kuwa ya shida na highways zimeanza ku-jam. Ni shida !!!
 
Naomba orodha ya matunda pendekezwa kwa tiba hii..
KAROTI+EPO+PEASI+EMBE
Juisi ya mchangayiko wa karoti, epo, peasi na embe hushusha joto la mwili, huondoa sumu mwilini, hushusha shinikizo la damu na hupambana na matatizo ya kupumua.
CHUNGWA+TANGAWIZI+TANGO
Juisi ya mchanayiko wa machungwa, tangawizi na matango huboresha ngozi na hushusha joto la mwili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…