Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Usimchokoze Mzee Rutta. Anaweza kuzimwaga namba hata page 6 non stop utafikiri yeye hana ile "You must wait for at least 3 seconds before posting". Watu wataziruka kuzipa likes lakini baada ya masaa mawili matatu unazikuta zote zimeshiba likes za kutosha. Sijawahi kuona popote mtandaoni uzi wenye raha kama huu. Hongera Jembekillo popote ulipo !!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna namna nambari kila mmoja lazima azisome. Rutashubanyuma tupia NAMBARI
Sent using Jamii Forums mobile app
Amani is there. Wewe si mtumishi? Why so pessimism? Yote yana Bwana na hili nalo litapita!Yes, moudgulf ni kujifariji maana hii amani is now buried
Hahahah eti alimpata mama viv
Limezizima kwa hofu kuu.
Kwakweli hizi zama hazina ubaguzi katika kuzisoma.Hakuna namna nambari kila mmoja lazima azisome. Rutashubanyuma tupia NAMBARI
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepitwa na hicho kisanga watu wangu, mnamuongelea nani huyo? SorryYaani acha tu,nimesikia kuna uzi aliweka kule jukwaa la malalamiko katukana watu hadi basi mods wameufuta na wamempa ban
Kuna mwingine jana jf doctor kule aliweka uzi akaanza kucomment mwenyewe kwa kujijibu bila kujua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jf raha sana
Sana yaan, baada ya kupata hizo taarifa leo ofisini every body was moodless. Tumemaliza siku kwa shida.
Sure!Dark days in homeland
Na wewe mkuu unapenda ubuyu?Nimepitwa na hicho kisanga watu wangu, mnamuongelea nani huyo? Sorry
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole na paper hahahahaWhat happened? Nilikuwa sijaingia humu JF masaa kadhaa, sehemu pekee ninayoweza kupata yanayojiri Bongo!