Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naomba mnichangie ninunue angalau ka-Aifoni seveni jamani. Huu mkweche ninaotumia huu naona umechoka. Sasa hata picha hazionekani. Aaaaarghh!!
Hahahaha
umenikumbusha mbali sana.
Kuna jamaa aliwahi kusema vijana mnalalamika hamna mtaji na wakati kwenye simu umesave watu zaidi ya 500 kila mtu ukimuomba buku na ukamuelezea lengo lako si unapata mtaji safi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…