16:5916:51
Tupo MkuuWazee wa zama, yegomasika, andjul, mzee wa liver, ho chi minh na wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Zama za kuangalia sinema bubu ukiwa nje ya ukumbi kiingilia kikombe cha kawaha
[emoji23][emoji23][emoji23]singo faza hana chakeNyinyi mna msimamo. Naheshimu sana mwanamke mwenye msimamo. Siyo kila mwanaume kujipendekeza pendekeza tu.
Kumekucha salama shemeji. Braza Cole siku hizi mbona haonekani onekani sana? Hata paraboz za kukudekesha zimepungua. Au singo faza keshafanya yake kichini chini?
Eeeehhh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]2,500,000/8,000=mibapa 312 na kasichana kamoja [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Baniani mkuuHahahahahaha lol! Mhindi wa kula au mhindi baniani Mkuu?
Mkuu mbona unawaza mbali ni kwa ajili ya afya tu Mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Supu?kwani una mtanange leo[emoji7]
Sent from my TV
Nashukuru Mungu siku yangu ni njema kabisaNakwambia wengi ni memba wa CHAWAMITA sema tu wanajificha ficha sijui kwa nini. Mzee wa Liver na andaeitini already in. Nimebakiza kuwakabidhi kadi zao tu.
Siku yako inaendeleaje?
Tupo wazee wa zama
Mkuu wengine ukisikia tunanunua surual si kuongeza ila iliyokuwepo imechakaaMkuu mbona unawaza mbali ni kwa ajili ya afya tu Mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pole sana hani.....Niko salama kipenzi. Mafua kidogo lakini niko salama kabisa. Pole na kazi !!!
Du hiki kiswahili chenu...jorani[emoji85]