mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Kweli I'm missing my Queen so much hereUzi wako huu mkuu wengine umetupatia na wapenzi kabisa japo waharibifu pia ni wengi. Asante sana !!!
Kama sikosei hii ni Chicago. Umeme unakatika vipande vipande na siyo limji lizima. Mwaka 2008 nadhani kulikuwa na shock kutoka sun flares zilipenya magnetic field ya dunia zikaleta blackout kuanzia Canada mpaka baadhi ya miji mikubwa ya Amerika hasa ya huko kaskazini karibu na Canada.Shimba miji kama hii umeme huwa unakatika kweli na ilitokea no power inakuwaje
Mkuu jembekilo umemuona[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ISIS yuko wapi Yego? Yuko salama?AMUN RA
Weeeee weeee!!!! Achaa nasema achaaaa!!!! Anawachanganya ujue?!!!!Yego anasingiziwa huyo namtetea[emoji23][emoji23][emoji23]
AMUN RA16:58
Nitakukumbusha na mguu wa bata beganiAje tena?
AMUN RA16:58
AMUN RA16:58
teh teh tehBob ni tatizo sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Adui yako mwombeeMbaya kivipi?
wewe umewapa watu 4G
Na wewe ukapokea 5G
njaa tupuAdui yako mwombee
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]jamaniNitakukumbusha na mguu wa bata begani
Kweli mkuu maana Jana carba na Numbisa walikuwa na hofuAFADHALI LEO jembekillo AMEKUJA KUHUISHA UZI WAKE WA NGUVU
baraka nyingi kwake
hahahahaTena tatizo sugu walah[emoji23][emoji23]
AMUN RA
Nimemuona, anaogelea tu kwenye bwawa la likes [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Mkuu jembekilo umemuona
Kwani Yegomasika kafanya uharibifu gani na wapi[emoji23][emoji23]Weeeee weeee!!!! Achaa nasema achaaaa!!!! Anawachanganya ujue?!!!!
subiri nijipange[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]jamani
Kwenye khanga napo upo