Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hii comment imenifanya nicheke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo lengo mojawapo la uzi huu. Tunataniana tunacheka tunakula likes na mambo yanakwenda. Anayekwazika anasema anaacha kutaniwa; na anayetaka kuonja povu anatest zali jukwaa la siasa halafu anarudi huku kawa mpolee. Nafurahi kama umecheka shemeji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…