[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji102]
CantstopwontStop
We Mzee nakuchek TuNilijua tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilijua tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli kabisaLike zinaashiria amani na upendo
XLIIW042
XLIIIW043
Kimpumu, komoni, kyindi, kangala na ulanzi kwa kuimpoti... Unataka kulipia kipi mkuu?Ulijua nini sasa we andjul? Hivi huko Tukuyu wanatumia kinywaji gani? [emoji23][emoji23]
XLVIW046
XLVIIIW048
XLIXW049
Nakulindia ujue?We Mzee nakuchek Tu
CantstopwontStop
Lete mamboPindamilia ana miguu myembamba na mirefu kiasi,ambayo humuwezesha kutembea kwa urahisi na kukimbia.Ni mnyama jasiri asiyeogopa kupambana na adui zake kwa mateke.Adui wa pundamilia mara nyingi ni Simba,Fisi,Mbwa mwitu na Binadamu ambaye humwinda kwa ajili ya nyama na ngozi.
Ndio maana nikakwambia nakucheki damu ni nzito kuliko maji ujueNakulindia ujue?
YapMnyama huyu ana miraba mingi myeusi ya mkato usoni na miguuni.Pundamilia ana nywele ndefu kati ya masikio na ukwato mmoja kama wa Farasi na kihongwe ambao ni jamii yake.
AdvantageMistari ya Pundamilia humsaidia kujificha kutokana na maadui zake.Inaweze kuwa rahisi sana kumuona Pundamilia katika maeneo ya kawaida ya binadamu,lakini awapo porini hasa kukiwa na mwanga mwingi au giza si rahisi kwa adui kumuona kwa urahisi.
Mimi nampendea hips zake na kiuno unavyo kizungusha akitembea... Hatariii!!!Pindamilia ana miguu myembamba na mirefu kiasi,ambayo humuwezesha kutembea kwa urahisi na kukimbia.Ni mnyama jasiri asiyeogopa kupambana na adui zake kwa mateke.Adui wa pundamilia mara nyingi ni Simba,Fisi,Mbwa mwitu na Binadamu ambaye humwinda kwa ajili ya nyama na ngozi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]